Thursday, April 17, 2014

HERI YA PASAKA

Sunday, April 06, 2014

KILA LA HERI JOHN MWAIPOPO

KILA LA HERI JOHN MWAIPOPO

Tuesday, July 02, 2013

RAIS WA TANZANIA

Thursday, May 02, 2013

Mei Mosi 2013 Hapa nipo na wafanyakzi wenzangu katika maandamano ya Mei Mosi. Maandamano yalipokelewa na Rais JK. Jambo kuu lililonifurahisha juu ya ujio wa rais mkoani Mbeya, pamoja na shughuli nzima ya Mei Mosi, ni ukarabari wa barabara. Barabara ulikopitishwa msafara wa rais zilifukiwa mashimo yote. Mimi hutumia barabara ya Karume (Mafiati-Mjini) karibu kila siku. Mashimo yote yamefukiwa. Sasa sijajua wahusika hawakuyaona kabla ya sherehe hizi au ni mgeni njoo mwenyeji apone. Karibu tena Mei Mosi, Karibu tena rais.

Tuesday, August 16, 2011

WATOTO WAKITOROKA
Leo mchana mitaa ya Ilala Boma. Nikawakuta watoto hawa wa Shule ya Msingi Mkoani wakitoroka kwa mtindo huo. Palepale nikapata jibu kuwa tabia ya utoro bungeni huanzia shuleni.



Juu na chini madogo wakitoroka


Labels:

Sunday, August 07, 2011

HAPA NA PALE MTWARA


On my background is the Tanzania's naturally deepest port.



In the streets with TIA colleagues

Labels:

Monday, August 01, 2011

NIKO 'NTWARA'
Nimetembelea maeneo ya kusini mwa Tanzania. Mtwara hakika kumekucha.Picha ninazo tele na nitaziweka hapa hapa.


Mitaani




Daraja la Mkapa nikiwa njiani

Labels: